Teh Teh...
Mwigulu anajifanya kushangaa fedha zinazotolewa kwa dawa zinaenda wapi wakati anajua ndizo yeye na genge lake wanazoagiza zikawalipe kina Jumanne Mjusi?!!!

ni mwendo wakulipa madeni,waziri amesema pia watalipa absa bilion 22.4 kwa ajili ya nbc wafadhili wamegomea kutoa misaada kweli mwaka wa shetani
Teh Teh...
Mwigulu anajifanya kushangaa fedha zinazotolewa kwa dawa zinaenda wapi wakati anajua ndizo yeye na genge lake wanazoagiza zikawalipe kina Jumanne Mjusi?!!!
Watalipa kwa hela gani, au watarudi nazo waheshimiwa kutoka ughaibuni ? Au zinazokatwa kutoka ktk mishahara kwa kisingizio cha kujenga maabara ? Hadanganywi mtu hapa !

nimekukubali mchungaji
Watalipa kwa hela gani, au watarudi nazo waheshimiwa kutoka ughaibuni ? Au zinazokatwa kutoka ktk mishahara kwa kisingizio cha kujenga maabara ? Hadanganywi mtu hapa !
Tatizo mmezoea kulalamika lalamika tu mwarobaini wa tatizo la madeni ya ndani hasa hifadhi ya jamii na msd umepatikana bado mnalalama ina maana mnataka huduma bora ziendelee kukosekana kwenye vituo vya afya ili mpate lakusema maana mnaishi kimatukio.ni mwendo wakulipa madeni,waziri amesema pia watalipa absa bilion 22.4 kwa ajili ya nbc wafadhili wamegomea kutoa misaada kweli mwaka wa shetani
Huyu ndio aina ya kijana Taifa linamwitaji,charity begins at home hata jimboni kwake jamaa yuko vzr sana .Mwigulu: Tutalipa deni la Sh8.4 Tril
Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya
Dar es Salaam. Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya jamii pamoja na Bohari ya Dawa (MSD).
Mifuko hiyo inaidai Serikali Sh8.43 trilioni. Mfuko wa PSPF unadai (Sh429 bilioni), PPF (Sh192 bilioni), NSSF (Sh467 bilioni), NHIF (Sh107 bilioni), LAPF (Sh170 bilioni) na GEPF (Sh6.8 bilioni).
Jumla hiyo ya deni la Serikali linahusisha deni jingine la PSPF la Sh7.06 trilioni ambayo ni malimbikizo ya madeni ya muda mrefu.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alisema kuwa mifuko hiyo huikopesha Serikali kupitia wizara mbalimbali, fedha ambazo hutakiwa kulipwa baada ya muda fulani.
Alisema wizara zisipolipa na hivyo deni kukaa kwa muda mrefu, huingizwa kwenye deni la Taifa.
Madeni hayo ni makubwa, yanahitaji baraza la mawaziri kujadili utaratibu gani utatumika kulipa, alisema Mwigulu na kuongeza:
Kwa mfano deni la PSPF ni kubwa na linahitajika kulipwa, hivyo tunaweka utaratibu lakini siyo kwamba Serikali hailip... kama mwaka jana tuliilipa PSPF zaidi ya Sh50 bilioni sema nao wana mahitaji yao.
Akizungumzia deni la MSD, Mwigulu alisema: Hili la MSD tumetaka mchanganuo wa wizara na kila halmashauri jinsi gani fedha zilizotolewa kwa ajili ya dawa, zimetumika.
Alisema mwaka jana Serikali ilitoa Sh47 bilioni kwaajili ya dawa katika wizara na halmashauri, lakini fedha zilizotumika kununulia dawa ni Sh7 bilioni tu.
Nyingine wamefanyia mambo mengine na ndiyo maana tunasema hatuwezi tukawa tunatoa tu fedha bila kupewa mchanganuo wa fedha hizo zimefanyiwa
Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya jamii.
Dar es Salaam. Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya jamii pamoja na Bohari ya Dawa (MSD).
Mifuko hiyo inaidai Serikali Sh8.43 trilioni. Mfuko wa PSPF unadai (Sh429 bilioni), PPF (Sh192 bilioni), NSSF (Sh467 bilioni), NHIF (Sh107 bilioni), LAPF (Sh170 bilioni) na GEPF (Sh6.8 bilioni).
Jumla hiyo ya deni la Serikali linahusisha deni jingine la PSPF la Sh7.06 trilioni ambayo ni malimbikizo ya madeni ya muda mrefu.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alisema kuwa mifuko hiyo huikopesha Serikali kupitia wizara mbalimbali, fedha ambazo hutakiwa kulipwa baada ya muda fulani.
Alisema wizara zisipolipa na hivyo deni kukaa kwa muda mrefu, huingizwa kwenye deni la Taifa.
Madeni hayo ni makubwa, yanahitaji baraza la mawaziri kujadili utaratibu gani utatumika kulipa, alisema Mwigulu na kuongeza:
Kwa mfano deni la PSPF ni kubwa na linahitajika kulipwa, hivyo tunaweka utaratibu lakini siyo kwamba Serikali hailip... kama mwaka jana tuliilipa PSPF zaidi ya Sh50 bilioni sema nao wana mahitaji yao.
Akizungumzia deni la MSD, Mwigulu alisema: Hili la MSD tumetaka mchanganuo wa wizara na kila halmashauri jinsi gani fedha zilizotolewa kwa ajili ya dawa, zimetumika.
Alisema mwaka jana Serikali ilitoa Sh47 bilioni kwaajili ya dawa katika wizara na halmashauri, lakini fedha zilizotumika kununulia dawa ni Sh7 bilioni tu.
Nyingine wamefanyia mambo mengine na ndiyo maana tunasema hatuwezi tukawa tunatoa tu fedha bila kupewa mchanganuo wa fedha hizo zimefanyiwa nini, alisema Mwigulu.
Ahsante sana Rais Aliyependekezwa 2015View attachment 197156
mkuu salama?ufipa hawajambo?tatizo mmezoea porojo na ndio maana mpaka leo makao makuu yenu mmepamgisha vyumba viwili pale ufipa licha yakupata zaidi ya ml 300 kwa mwexiSerikali ya CCM hii haiwezi hizo ni porojo tu, ila matokeo ni kuumiza watumishi waliopo katika mifuko hii kuja kukosa mafao yao