Mwigulu pesa yetu timu ya Ulemo hadi lini?

Kiwindo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
255
Reaction score
30
Naomba kumwuliza mwigulu hela yetu timu ya ulemo umetudhulumu? bendeza za chadema mnaziogopa sana inaonekana! wapambe wako watakuponza
 
Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Nyie si mlipeperusha bendera ya cdm mbele ya N / KATIBU MKUU !
 
Dah! Jamaa kwenye kombe la mwigulu wa ccm wakapeperusha bendera ya chadema? Teh! teh! teh! Af mnataka awape na hela, y!'aint serious men!!
 
Mpaka mtakapohamia ccm,maana kwa mwigulu ukiwa nje ya ccm wewe sio msingida wala mtanzania!
 
Kwenye hilo kombe lake angewashirikisha magamba peke yake kwa kuwa huyu jamaa ni mbaguzi sana,amesahau michezo inawaunganisha watu bila kujali itikadi,kabila wala rangi?
WE Nchemba wape fedha zao haraka usilete ubabaishaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…