Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 5,254 Reaction score 18,122 Nov 24, 2025 #1 Waziri mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba amesema kuwa Tanzania inachonganishwa kutokana na rasilimali zake. Ameyasema hayo wakati wa mkutano wake wa kufanya tathmini ya athari ya machafuko ya wiki ya uchaguzi nchini humo. Tanzania ilishuhudia maandamano na vurugu wiki ya uchaguzi mkuu oktoba 29. Your browser is not able to display this video.
Waziri mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba amesema kuwa Tanzania inachonganishwa kutokana na rasilimali zake. Ameyasema hayo wakati wa mkutano wake wa kufanya tathmini ya athari ya machafuko ya wiki ya uchaguzi nchini humo. Tanzania ilishuhudia maandamano na vurugu wiki ya uchaguzi mkuu oktoba 29. Your browser is not able to display this video.