witness kagirigiri
Member
- Mar 23, 2017
- 64
- 89
Juzi Mwiguru alisema Nape hawezi kutishiwa basitora Kwani yeye ni mtanzania. Swali wengine wanaotishiwa SMG (SUB MASHINE GUN) Kama mbunge msukuma wa geita ni vinyago na Sio watanzania? Ila Nape ndio mtanzania.? Huku ni kutumia madaraka vibaya Sababu ya uswahiba wa Nape na dada yako anayetuhumiwa kama teja na mfuga mashoga Wema sepetu. Mtu akidai kitambulisho kimojawapo harafu akaonyeshwa anakuwa na kosa gani. Watu WANATOA matusi kanisani hujawachukulia hatua ila mtu akitimiza wajibu wake anachukuliwa hatua. Kama maasikari mtanyanyaswa kwa Hili nitawafananisha na mtu anayeishi majini lkn mwili wake hautakati. Skendo ya Steve ilikuwa Sawa na bado hatujaisahau. Fanya kazi lkn siyo kama vile kulipiza kisasi. UKIONA HAUWEZI WAPO WABUNGE 385 WA CCM TUNATAMANI NAFASI YAKO.