Mwigulu Nchemba, shujaa wangu

Uclolijua ni kama ucku wa kiza.Mi ni injia wa madini na mpaka sasa nafanyakazi katika moja ya migodi huku kahama.Na muda c mrefu nataka kuanzisha small scale gold processing plant.Ucdhani kila m2 ni kama hao wahuni unaowa2kana kila cku.
eti injinia!! mtu unaandika m2!! shenzitype injinia ushuzi wewe labda.
 
Mwigulu Nchemba ni jembe ambalo CHADEMA hawapendi kumsikia kabisa, hivyo usikatishwe tamaa na hao jamaa maana wanamjua vizuri ndio maana wanachangia mtazamo hasi ili kumuangusha.
 
Last edited by a moderator:

huna akili wewe
 
Ccm walikiwa wanapoyeza nuda na kina Mkuchika, hii timu ya Mwigulu, Nchemba na Kinana wapinzani hawalali, kila wanachokifanya wananchi wanawaona wanakosea.
 
Uclolijua ni kama ucku wa kiza.Mi ni injia wa madini na mpaka sasa nafanyakazi katika moja ya migodi huku kahama.Na muda c mrefu nataka kuanzisha small scale gold processing plant.Ucdhani kila m2 ni kama hao wahuni unaowa2kana kila cku.

Hata mimi namkubali sana huyu jamaa.ingawa watu wanajaribu kumchafua.
 
hahahaaaaa shujaa wako kwa kuratibu mipamgo ya utekaji na utoaji kucha teh teh teh umetisha kiongozi kweli mwigulu ni shujaa ,,kama anaweza kurusha mabomu duuuu!
 
Tunaheshimu msimamo wako mkuu kila ndege hutua mti aupendeo.
 
poa tumekusikia, Kila mtu anao Uhuru wa kuzungumza, naona unautumia vilivyo!!
 
Huwa anakufanyaje mpaka awe shujaa wako???
acha ushoga mtoto wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…