Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
Huu mtandao sasa naona unapoelekea si pazur mashoga wanatuvamia, kabutuliwa cku moja tu kaja na sifa kemkem, na nasikia safar hii umepewa gar ile ya kilimo kwanza
Mimi kwe2 ni TANZANIA BARA tena KILIMANJARO
cjakuambia natokea nchi ya tanzania bara bali natokea tanzania bara.wewe ndo akili yako mbovu.umenukuu kama hilo neno ni nchi.uelewa wako ni mdogotunafanya jitihada za kukutafutia hospitali iliyo bora ili ukapate matibabu stahiki kutokana na maradhi yanayokukabili. Unasomeka kuwa na ulemavu wa viungo, na kiungo kinachohusika hapo ni ubongo.
N.b hakujawahi tokea nchi ikiitwa "tanzania bara"
kwa majibu hayo haishangazi mwigulu kuwa shujaa wako.
Huyu ndiye mwanasiasa ninayemkubali na kumpigia mfano kwa sasa hapa nchini.Nmefatitilia siasa zake na uongozi wake kwenye bunge na jamii kwa ujumla na vitu nlivyovigundua ni kwamba huyu jamaa yupo safi kwa kila kitu.Yeye ndo mfano wangu.Natamani cku moja niwe na uwezo wa kisiasa na kiuongozi kama yeye.
Nakuunga mkono mkuu,Mwigulu yupo makino
cjakuambia natokea nchi ya tanzania bara bali natokea tanzania bara.wewe ndo akili yako mbovu.umenukuu kama hilo neno ni nchi.uelewa wako ni mdogo
Na wewe mwigulu anakutafuna???
Hivi anawalipa au nini maana naona hizi siku mbili kwenye mitandao ypote facebook wapi mnamsifu tu
Mi natokea TanzaniaSasa nyoosha maneno.
Unatokea nchi gani wewe kati ya TANGANYIKA na TANZANIA
Mi natokea Tanzania na cfahamu kuhusu TANGANYIKASasa nyoosha maneno.
Unatokea nchi gani wewe kati ya TANGANYIKA na TANZANIA
Mi natokea Tanzania
Hivi anawalipa au nini maana naona hizi siku mbili kwenye mitandao ypote facebook wapi mnamsifu tu
Mi natokea Tanzania na cfahamu kuhusu TANGANYIKA
Uclolijua ni kama ucku wa kiza.Mi ni injia wa madini na mpaka sasa nafanyakazi katika moja ya migodi huku kahama.Na muda c mrefu nataka kuanzisha small scale gold processing plant.Ucdhani kila m2 ni kama hao wahuni unaowa2kana kila cku.hili tatizo la ajira serikali ilichukulie seriously, next step ya mtu kama huyu ni kufirika tu hapa mjini, huyu hana next option nyingine ya kuweza kuishi na kujipatia kipato.
Hatufahamiana hata kidogo ila mambo mazuri anayoyafnya kwa ajili ya nchi ndo mana namkubali.Ni kama ninavyomkubli NYERERE ina mana naye alinilipa.Kuwa na uelewa kidogo