Mwigulu Nchemba, kunani!

mwigilu mze wa matusi sidhani kwamb anauwezo wa kuongoza hata chekechea
 
Leo yupo Igunga pamoja na Juliana Shonza na Mtela Mwampamba, nadhani Ni katika mwendelezo WA ziara zake za kuelezea mafanikio ya utelezaji WA ilani ya ccm, jinsi alivyozuia upotevu WA mabilioni pale benk kuu nk.

Ni upotevu upi aliozuia pale BOT? Fedha za EPA alishiriki kuziiba ref. kauli ya Mnyika Bungeni, baada ya kuteuliwa unaibu waziri zimeibiwa Billion 200 je kati anachojinadi ameokoa na hicho alichoshiriki kukiiba kipi na kikubwa?
 
Media hype! Watu wanafanya abracadabra hadi kwenye mechi uwanja wa Taifa unafanya mchezo eeh? Umaarufu unatafutwa bwana.
 

Mkuu angekuwa kimya pia angesemwa vipi mbona hamna analofanya, akifanya vizuri anaambiwa Urais dah kazi kweli kweli ...
 
Mtu akifanya vizuri asifiwe na akiboronga asemwe vibaya sasa sisi watanzania mtu afanye vizuri ni baya tu sasa afanyeje ili aonekana katenda jema tubadilike.
 

Lipumba alishasema uwezo wa waziri ni mdogo hivyo Mwigulu ameamua kufill hiyo vacum
 

Narudia angaika weeee!! Ila kumbuka Kuuza Bata ni rahisi kuliko kumuuza Mwigulu!

Napita tuu!!!
 
Mwambie hadi leo tarehe 06/09 sijapokea mshahara wa july na august 2014.
 

 
Of course wasaidizi wa waziri ndio wanatakiwa kuonekana zaidi kuliko waziri mwenyewe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…