Cheap propaganda...si rahisi kuamini unayotuhumu kwani haina chembe ya ushahidi wala mvuto!Wakati wa kipindi cha uchaguzi wa igunga alipigiwa simu na mwananchi wake ambaye alimtaka haache kuwadanganya wanaigunga wakati iramba hakuna alichokifanya lakini mwananchi huyo aliambulia matusi kwa lugha ya kinyiramba kwamba(sikanikatambwila ni antu nasikaakutyela) yaani siwezi kuongea na mtu ambaye ajatawaza.pia mbunge huyu aliwahi kuwatukana wananchi wa urughu kwa kuwaambia nanukuu:ATAMULEKIPELA KURA ZANI SIKAMBYEZA INE NAZA NI MWANANZAGAMBA NAZEZEMALA.(hata msiponipa kura haisaidii kwa maana sasa mimi nimekuwa kidume nimenawiri) kwa ujumla huyu ndo nchemba madelu.
Join Date : 29th June 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received
0
Likes Given
0
Wakati wa kipindi cha uchaguzi wa igunga alipigiwa simu na mwananchi wake ambaye alimtaka haache kuwadanganya wanaigunga wakati iramba hakuna alichokifanya lakini mwananchi huyo aliambulia matusi kwa lugha ya kinyiramba kwamba(sikanikatambwila ni antu nasikaakutyela) yaani siwezi kuongea na mtu ambaye ajatawaza.pia mbunge huyu aliwahi kuwatukana wananchi wa urughu kwa kuwaambia nanukuu:ATAMULEKIPELA KURA ZANI SIKAMBYEZA INE NAZA NI MWANANZAGAMBA NAZEZEMALA.(hata msiponipa kura haisaidii kwa maana sasa mimi nimekuwa kidume nimenawiri) kwa ujumla huyu ndo nchemba madelu.
Ana "character disoder"Mtu yetote mwenye akili timamu atamjua tu Mwigulu kuwa amekulia kwenye ukosefu wa mafunzo ya kinidhamu!
Wakati wa kipindi cha uchaguzi wa igunga alipigiwa simu na mwananchi wake ambaye alimtaka haache kuwadanganya wanaigunga wakati iramba hakuna alichokifanya lakini mwananchi huyo aliambulia matusi kwa lugha ya kinyiramba kwamba(sikanikatambwila ni antu nasikaakutyela) yaani siwezi kuongea na mtu ambaye ajatawaza.pia mbunge huyu aliwahi kuwatukana wananchi wa urughu kwa kuwaambia nanukuu:ATAMULEKIPELA KURA ZANI SIKAMBYEZA INE NAZA NI MWANANZAGAMBA NAZEZEMALA.(hata msiponipa kura haisaidii kwa maana sasa mimi nimekuwa kidume nimenawiri) kwa ujumla huyu ndo nchemba madelu.
Mtu alishawahi kusema huwa anachukuwa chumba Guest Single wanalala madume manne hata akiwa kwao unategemea nini hapo?