Mwigulu Nchemba leo Karatu katuita nyumbu, tukatata kumgawana bahati yake FFU wakawahi, alishindwa hata kupanda chopa yake, chopa ikatoroka peke yake
Ilikuwa hivi, alimwongelea vibaya Lowassa idadi kubwa ya watu wakaanza kuondoka, akasema, msiwe kama nyumbu, nyumbu ndo mmoja akianza kwenda wengine hufuata bila kufikiri ' raia wakasema unatuita nyumbu eeh? Vurugu ndo zikaanza, it was like that wakubwa !