Mwigulu mbona aliyemwagiwa Tindikikali ulikuwa unazuguka nae majukwaani? Leo Lissu kusemewa inakuwa nongwa?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Tindikali.png

Katika wanasiasa waongo mmoja wapo ni huyu Mwigulu Nchemba, najiuliza ivi ukiwa doctor na ukawa CCM akili huwa zinawaruka? Hivi huyu ndio wakuwasema CHADEMA wanamsemea Tundu Lissu majukwaani tena unaweka na element za UBAGUZI kuwa sio ndugu yao.

Watanzania ni ndugu au hulijui hilo? Unawabagua watu kwa makabila yao ili iweje? Tena waziri wa mambo ya ndani kisa madaraka unatoa utu?

Kama Lissu ni ndugu yako, je ulichangia shs ngapi kwenye matibabu? Je ulishaenda kumjulia hali toka aliposhambuliwa? Wewe ni ndugu yake kivipi?
 
hata kwa Ben saanane huyu bwana alisema Ben na yeye Ni Chanda na nanii..nahisi hadi kulia alitaka kulia..muulize rafiki yako Ben yupo wapi Hana majibu so mzoeeni kwa unafiki wake..maana Ni mkuda balaa sfu eti Ni waxiri WA mambo ya ndani ndugu na marafiki zako wanatekwa wengine kupigwa risasi Una kuja kutuimbia nyimbo lisu Ni ndugu yako ok sasa tushajua ni ndugu yako umechukua hatua gani kuwapata waliompiga kwa risasi?
 
View attachment 695864

Katika wanasiasa waongo mmoja wapo ni huyu Mwigulu Nchemba, najiuliza ivi ukiwa doctor na ukawa ccm akili huwa zinawaruka? Ivi huyu ndio wakuwasema chadema wanamsemea Tundu Lissu majukwaani tena unaweka na element za UBAGUZI kuwa sio ndugu yao.

Kama Lissu ni ndugu yako je ulichangia shs ngapi kwenye matibabu? Je ulishaenda kumjulia hali toka aliposhambuliwa? Wewe nj ndugu yake kivipi?

Anatekeleza Majukumu yake kulingana na order toka kwa Mkuu wake muacheni siku akiamka ataacha kukoroma
 
Mtawatambua kwa matendo yao...
Hizi PhD wanaozitoa wanatumia vigezo gani?
 
View attachment 695864

Katika wanasiasa waongo mmoja wapo ni huyu Mwigulu Nchemba, najiuliza ivi ukiwa doctor na ukawa ccm akili huwa zinawaruka? Ivi huyu ndio wakuwasema chadema wanamsemea Tundu Lissu majukwaani tena unaweka na element za UBAGUZI kuwa sio ndugu yao.

Watanzania ni ndugu au hulijui hilo? Unawabagua watu kwa makabila yao ili iweje? Tena waziri wa mambo ya ndani kisa madaraka unatoa utu?

Kama Lissu ni ndugu yako je ulichangia shs ngapi kwenye matibabu? Je ulishaenda kumjulia hali toka aliposhambuliwa? Wewe nj ndugu yake kivipi?

Huyo atuwachie Lissu wetu
 
Mbona na yeye analiongelea tukio la kupigwa risasi mwenzake kwenye kampeni? Ana tofauti gani na hao anaowakosoa?

Tulitarajia atuletee wahalifu waliohusika na huo unyama au bora angenyamaza. Hajasoma kwamba hata mjinga akinyamaza huhesabiwa kuwa na busara?
 
Katika wanasiasa waongo mmoja wapo ni huyu Mwigulu Nchemba, najiuliza ivi ukiwa doctor na ukawa CCM akili huwa zinawaruka? Hivi huyu ndio wakuwasema CHADEMA wanamsemea Tundu Lissu majukwaani tena unaweka na element za UBAGUZI kuwa sio ndugu yao.

Watanzania ni ndugu au hulijui hilo? Unawabagua watu kwa makabila yao ili iweje? Tena waziri wa mambo ya ndani kisa madaraka unatoa utu?

Kama Lissu ni ndugu yako, je ulichangia shs ngapi kwenye matibabu? Je ulishaenda kumjulia hali toka aliposhambuliwa? Wewe ni ndugu yake kivipi?
Huku kwetu Tandika Mwembeyanga kuna msemo mmoja uchwara lakini una maana sana , unasema hivi , " UKIWA MUONGO USIWE MSAHAULIFU " laiti huyu Mwigulu angelijua hili angejipanga upya .
 
Katika wanasiasa waongo mmoja wapo ni huyu Mwigulu Nchemba, najiuliza ivi ukiwa doctor na ukawa CCM akili huwa zinawaruka? Hivi huyu ndio wakuwasema CHADEMA wanamsemea Tundu Lissu majukwaani tena unaweka na element za UBAGUZI kuwa sio ndugu yao.

Watanzania ni ndugu au hulijui hilo? Unawabagua watu kwa makabila yao ili iweje? Tena waziri wa mambo ya ndani kisa madaraka unatoa utu?

Kama Lissu ni ndugu yako, je ulichangia shs ngapi kwenye matibabu? Je ulishaenda kumjulia hali toka aliposhambuliwa? Wewe ni ndugu yake kivipi?
Just curious - hivi waliommwagia tindikali walikamatwa na kufunguliwa kesi? Je kesi hiyo iliishaje?
 
Katika wanasiasa waongo mmoja wapo ni huyu Mwigulu Nchemba, najiuliza ivi ukiwa doctor na ukawa CCM akili huwa zinawaruka? Hivi huyu ndio wakuwasema CHADEMA wanamsemea Tundu Lissu majukwaani tena unaweka na element za UBAGUZI kuwa sio ndugu yao.

Watanzania ni ndugu au hulijui hilo? Unawabagua watu kwa makabila yao ili iweje? Tena waziri wa mambo ya ndani kisa madaraka unatoa utu?

Kama Lissu ni ndugu yako, je ulichangia shs ngapi kwenye matibabu? Je ulishaenda kumjulia hali toka aliposhambuliwa? Wewe ni ndugu yake kivipi?
Hii ndonga siyo ya kitoto,umempatia kweli savimbi.
 
hata kwa Ben saanane huyu bwana alisema Ben na yeye Ni Chanda na nanii..nahisi hadi kulia alitaka kulia..muulize rafiki yako Ben yupo wapi Hana majibu so mzoeeni kwa unafiki wake..maana Ni mkuda balaa sfu eti Ni waxiri WA mambo ya ndani ndugu na marafiki zako wanatekwa wengine kupigwa risasi Una kuja kutuimbia nyimbo lisu Ni ndugu yako ok sasa tushajua ni ndugu yako umechukua hatua gani kuwapata waliompiga kwa risasi?
Ingekuwa huko wanakojua kuwajibika sasa hivi waziri wa mambo ya ndani angekuwa ameshaachia ngazi na hasa baada ya 'ndugu' yake kupigwa risasi na hakuna aliyetuhumiwa miezi kadhaa baada ya tukio.
 
Back
Top Bottom