Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,166
- 138,374
Andika vizuri mwigumu ndiyo nani ukawa bana.Anatema povu,porojo,anananga,Anasema wapinzani wana pepo,anasubiri 2015 atawatia adabu wapinzani!anasema anatamani aongoze nchi hii awafundishe watu adabu!Huyu mzima kweli,kuna bajeti ya kunanga upinzani au ya nishati
Bawacha full vituko ni manyago tu umeonaje kama ulizima.Nimezima tv mkuu kwa kelele
Mwigulu ni mwiba kwa wanasiasa uchwara kama wa ukawa na wenzake.
Kumfundisha mtu adabu ni kuuwa bavicha ni watu wa ajabu kweli.jamaa ni mpuuz sana anawaza kuuwa watu tu!!!!
Andika vizuri mwigumu ndiyo nani ukawa bana.
Hii maana yake ni kuwa aliyepo ameshindwa .........