Comrade kimako jr
Member
- Jan 10, 2015
- 12
- 2
WANANCHI NA WAKAZI WA MOROGORO MJINI
WAMPOKEA MWIGULU NA MABANGO YA LOWASSA.
Hali ya taharuki ilizuka Mkoani Morogoro baada ya mwigulu kukutana na mabango ya Edward Ngoyai Lowassa mkoani morogoro yalioandaliwa na waananchi wakazi wa Morogoro wanao amini katika 4UMOVEMENT## UTUMISHI,UWAJIBIKAJI,UMOJA NA UZALENDO kama misingi ya kiongozi huyu Erdward Lowassa.
Wananchi hao walifika eneo la tukio tangu saa nane mchana huku mwigulu akifika sehemu ya mkutano wa hadhara mnamo saa 12 jioni wananchi wakiwa wamechoka na hawana tena hamu ya kusikiliza mkutano huo wakitafsiri kitendo hicho kama dharau kwa wana morogoro kitendo cha kuwaeka kuanzia muda huo hadi saa 12 alafu anashindwa kuzungumzia mambo yanayowahusu wananchi zaidi ya kuzungumzia mmiliki wa chopa ambaye ni immaterial ilikuwa ni kazi bure kwa watu wamorogo,
Walala hoi na wavuja jasho walimuuuliza mwigulu juu dhamira yake na kupitia mabango yao waliotumia kufikisha ujumbe walidhani ilikuwa ni sehemu ya mwigulu kuja kuyajibia katika hotuba yake zaidi alizungumzia kero ya udom badala ya wana morogoro
Wananchi wa morogoro wamempima na kuona mwigulu kwa sasa hatoshi anapaswa kusubiri mpaka 2025 T2015 ni mwaka wa maamuzi na matumaini yeye asubiri kuwa waziri kamili,
watu hao wa morogoro walionyesha hisia zao kupitia mabango mbali mbali ambayo hata hivyo vijana wa mwigulu waliwalazimisha police kuyachana na kumkamata kijana mmoja ambaye hata hivyo alikuja kuachiwa baada ya kuonekana hana hatia,
mkutano ukiwa unaendelea Wafuasi wake wazua vurugu kuyazuia wasababisha mkutano kuvupoteza mvuto wananchi washikwa na butwaa baada ya vurumai hizo Wengi Morogoro wasema niwakati wa Lowasa askari washangaa mabango ya kumsifu Lowasa kuzuiwa wasema kosa liwapi ikiwa kila mahara wanapofanya kazi wanasikia watu wote wakisema lowasa ndie Rais ajae.......
Askari wawauliza vijana wa mwigulu kwani hawayaoni magazeti ambayo yanasema kila siku Lowassa ndiye rais cha ajabu ni kipi.....!
Kati ya mabango nilioyashudia moja lilisema T2012 ni mwaka wa maamuzi na matumaini mapya mwigulu subiri, Sokoine 2 msaidie lowassa 2015.... Mwigulu kama wewe ni yesu Tenda Miujiza Uwewaziri mkuu katika Serekali awamu ya tano chini ya Raisi Lowassa..... N.k
Katika hali ya kawaida mmiliki wa chopa inayotumiwa na mwigulu alazimishwa kujitokeza na vijana wa morogoro,
akijibu tuhuma za kutumia vibaya rasilimali za chama kumjenga mwigulu na siasa zake za uraisi, mwana ccm anayedai ni mmiliki wa chopa bwana msukuma mwenyekiti wa ccm geita anasema yeye ndie mmiliki halai wa chopa hiyo amemsaidia kwa moyo mkunjufu mwigulu chopa hiyo ikamsaidi kujitangaza tanzania nzima Katika mbio zake za uraisi...........
majibu ya msukuma yanatosha kuonyesha dhamira ya mwigulu na ziara zake zipo katika mlengo upi kichama au binafsi...'
Hata hivyo katika hali ya kushangaza msukuma aliwasifu vijana wale walalahoi na wavuja jasho kutoka maeneo mbalimbali mkoa wa morogoro kwa ujasiri wa kujitokeza na kufikisha ujumbe wao akaalaani vikali vijana wa mwigulu waliokuwa wakijalibu kuzuiya ujumbe huo usimfikie mwigulu akasema pale ndio mahala pake ujumbe kufika kwani mwigulu ndio kiongozi wa chama anapaswa kuja huku chini chama kinazungumzwa vipi na wananchi pamoja na wanachama,
Hata ivyo msukuma alionekana kivutio kuliko hata mwenye mkutano maana alipomaliza yeye kuzungukza waru wakaanza kutawanyika na mwigulu alipokuja hakuwa katika nafasi ya kuzungumza kiundani maana muda ulikwisha
Hata hivyo okello nilishuhidia wananchi Wakifurai uwepo wa chopa na kumpongeza naibu kwa kufanya ziara kwa njia ya chopa