Mwigulu anachomokaje?? Katika hili???

Hakuzungumzia kale kandama kake kasikotaka kunyonya?
 
Chezea damu ya mtu wewe, itakufuata tu, tusubiri, ipo siku ataropoka tu, sorry, kwanza si aliisha omba msamaha kabla ya tukio huyu? Tena humu humu ndani!
Kwa tukio lile hakuna wa kumwamini!
yeyote anaweza akawa anahusika.
na hivi video yenyewe imetulia kama vile mtu anarekodi movie ya kawaida, asiogope hata kama kuna mlipuko mwingine unaweza ukatokea.
This is so strange ndiyo maana sitaki sana kum-point mwigulu.
 
Yeyote anaweza akawa mhusika kati ya hizi pande mbili zinazolumbana.
Kwenye siasa lolote linawezekana.
 
This is the only so called "MCHUMI FIRST CLASS" ninayemjua ambaye huwa anaongea huku ubongo wake ukifikiri antithetically. Hivi busara zimekosekana kabisa kule kwenye madula ya Kariakoo, au hata kuazima kutoka kwenye Maktaba ya Taifa...duh.
 
Pale pale nilisikia kichefuchefu sana..kwa mkanganyiko huko na kutoelewa kuwa kamera iliyokuwa maunted ni automatic au remote contolled.km haijadhuruka haiwezi ogopa wala kimbia,pia hakujua kuwa kamera ina Zoom na hivyo walipoona kama inakimbilia tukio na yeye kuwa na hiyo dhana inaonyesha jinsi amejiingiza ktk umafia bila uwa na akili ya kutosha ishi hayo maisha.

Ulipoweka taarifa hewani umewarudhisha magamba nyuma mbali sana, sasa inabidi wakaanze jenga taswira ingine kabla ya bomu ,hapo ten awatapa shid aya consistency.

ZImenzishwa thread nyingi sana kwa kuweweseka kwa magamba wakati JK aki downplay mambo ili asiulizwe huko ktk kuuza nchi.
 

unayo kazi ...kamera iliyokwa ijichukulie picture na kuwa operated remotely ihofie nini sasa wakati hiyo ndiyo kazi yake....?Labda lile bomu lingeipasua.Mtajidanganya na kujisahaulisha halafu mtarudi tuu ground zero.
 
haaaaaaaaaaaa,nimeipenda ihi,
 
Mwigulu Nchemba kwa kinywa chake alisema, tusipo ichagua CCM tutakufa, na baada ya muda mfupi bomu likalipuka kwenye mkutano wa Chadema. Mwigulu Nchemba ndio muhalifu namba moja, hakimu wa haki atamuhukumu.
 
Last edited by a moderator:
Ni siku hiyo hiyo ya ijumamosi tarehe 15/6/2013 ambayo ilikuwa siku ya kuitimisha kampeini za marudio ya uchaguzi wa Madiwani ktk kata 4 za jiji la Arusha. Mnamo muda wa saa 5 asubuhi, Mwigulu alipotelemka kwenye gari lake baada ya dereva wake kuliegesha sambamba na lango la kuingilia Naaz restaurant, iliyoko mtaa mashuhuri wa Sokoine mkabala na NMB Banki, alipotelemka na kukatiza barabara kuingia NMB. Ghafla badhi ya watu walimuona na kumtambua, na ndipo walipoanza kumzomea. Zomea zomea hiyo ilivuta watu wengi ambao walianza kukusanyika na kuenea hadi Modern Supermarket. Umati mkubwa ulimsubiria atoke Benki ili waendelee kumzomea.
Askari wa Benki kuepusha tafrani na aibu kwa mkuu walimwambia dereva apeleke gari kwenye lango la kuingilia Benki ali akitoka tu apande kwenye gari na atokomee. Hatua hii ilifanikiwa na alipomaliza shughuli zake alipanda kwenye gari na kuondoka.
Watanzania inatupasa tuwe makini sana , tuachane na ushabiki wa vyama. Wote kwa umoja wetu na kwa ustawi wa amani ya nchi tukatae na tumnyoshee vidole mtu ambaye anataka kutuvuruga na kuipeleka nchi kwenye machafuko.
Nafasi ya kuchaguliwa kwa nafasi yoyote ile huwezi kuwalazimisha watu, eti ni lazima wakuchague wewe tu, wapende wasipende. Hata ikibidi ufanye mchezo mchafu wa kutoa maisha ya binadamu wenzio. Si sahihi na si haki mbele ya Mwenyezi Mungu. Kama watu ni wale wale waliokupa au kukuchagua kwenye hiyo nafasi, ujue kuwa pia wanayo haki vile vile ya kukukataa. Na watakapofanya hivyo si dhambi bali ni haki yao.
Watanzania tukiamini na kuhubiri ktk kukubaliwa na kukataliwa, hakika nchi hii itaendelea kuwa na amani milele. Kinyume chake nchi hii tutaiingiza kwenye machafuko kutokana na upuuzi wa watu wachache wanaofikiri kuwa wana mkataba na Mwenyezi Mungu wa kutawala milele. Kila kitu ktk dunia kina ukomo wake, nami nikiangaza macho yangu mbele naona ukomo wa CCM, kikipisha mfumo mwingine wa utawala, ambao nao utafika mwisho wake na kupisha mwingine huku Tanzania ikiendelea kuwepo. Kwa binadamu aliyezaliwa na mwanamke hawezi kupingana na falsafa hii. Nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…