moe junior
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 910
- 948
Ukipita barabara kuu ya Dar mpaka Mbeya na ile ya Dar mpaka Mtwara kuna mtu ameandika "Mwigulu rais 2015" mwandiko ni ule ule na anatumia rangi nyeusi ya kuspray. Huyu mtu katumwa na Mwigulu au kajiajiri mwenyewe?
Huyo atakuwa katumwa ndugu maaana sio huko tu na kwingine kaandika huyo jamaaa
Haisadii kitu ..!
Wiki Jana nilikuwa Laela Sumbawanga mawe pale jirani na Mtapenda yamegongwa chata ya Mwigulu Rais 2015 pia Mlima Kitonga Ile miamba ina chata zake za kutosha tu!