mbona siwelewi kuna maana mwigulu ni adawi wa chadema.huyo mwigulu ndiye RAIS ajaye 2015
mbona siwelewi kuna maana mwigulu ni adawi wa chadema.huyo mwigulu ndiye RAIS ajaye 2015
Si unajua tena ishu za vikao vya baraza la mawaziri ni vigumu kusema kuwa una fact zote!Tetesi?
Je Naibu Waziri ni mjumbe wa kikao cha baraza la mawaziri!!!
Mwigulu Joka la kibisa.
Hapa ndo uhalisia wa mtu ulipo.... Tangu kuibuka kwa sakata hili sijamsikia akikemea na kujiapiza kuwa atawafikisha mahakamani kama tulivo mzoea akijiapiza.
Utagundua wote hawa ni mwendo mdundo.....
Kabaki kudhurumu haki wafanyabiashara ndogondogo kama Mimi....
Nyerere umetuachia wezi walokubuhu