ferre.g
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 2,215
- 327
Hapa ndo uhalisia wa mtu ulipo.... Tangu kuibuka kwa sakata hili sijamsikia akikemea na kujiapiza kuwa atawafikisha mahakamani kama tulivo mzoea akijiapiza.
Utagundua wote hawa ni mwendo mdundo.....
Kabaki kudhurumu haki wafanyabiashara ndogondogo kama Mimi....
Nyerere umetuachia wezi walokubuhu
Utagundua wote hawa ni mwendo mdundo.....
Kabaki kudhurumu haki wafanyabiashara ndogondogo kama Mimi....
Nyerere umetuachia wezi walokubuhu