Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,289
Pole sana Mkuu... Karatu masifa na Matamasha weka pembeni !!
Nyumbu katika ubora wao .....Karibu tena KRT
Nyumbu katika ubora wao .....Karibu tena KRT
Safi sana! Ila mkuu funguka zaidi basi ilikuwaje kuwaje..Fufulishwa tafsiriii....Kukataliwa
Safi sana! Ila mkuu funguka zaidi basi ilikuwaje kuwaje
...jamaa alikuja na kiigizi cha chopa ...chini watu na Lowassa ....kufika chini akawaita watu wa Karatu Nyumbu ...
..nampa pole sana Kijiko.. Karatu ndo hiyo hata Samsoni juwa hiyo kitu
Inamana kawaita wananchi wa karatu nyumbu . Nimeamin mwisho wa ccm umefika.
Inamana kawaita wananchi wa karatu nyumbu . Nimeamin mwisho wa ccm umefika.
Ndio kawaita mimi nilikuwepo
Ndio kawaita mimi nilikuwepo
...Hukuchukua hata video kidigo hebu tutumie hata picha mkuu
...@mwigilu mp. .zi sana...
......Mkuu yuko juu chini watu wanapiga peoples poweeeeeeeeeeeeeer
Ndomana alichafua madaraja kwa kuweka jina lake....jamaa ni mshamba wa siasa ni mbururazz kwelizz
Ndomana alichafua madaraja kwa kuweka jina lake
Safi sana kamanda..Karatu heshima mbele hata Samson na Delila juwa hii kitu