Kiburi cha uzima hutufanya tujione ni kila kitu nje ya Mungu lakini ipo siku kila atakayepata neema ya bwana atakiri kwa kinywa chake YESU ndiye Bwana na Mwokozi wake.
Heri waliojua hilo sasa na tumuombe Mungu azidi kutufungua na sisi wengine tujue jinsi ya kuishi kwa namna ile Mungu aliyokusudia na si kwa kuongozwa na akili zetu tu!