Mwigamba: Nakuhurumia Zitto Kabwe

Mwigamba na Zitto hawakuwahi kuimba wimbo mmoja toka wako CHADEMA wasingeweza kuimba wimbo mmoja ACT
 
Ni Mwigamba huyu huyu msaliti? Hivi:
Zitto Kabwe anajua?
Dr. Kitila Mkumbo anajua?
Juliana Shonza anajua?
Mtela Mwampamba anajua?
Mkuu hapo sasa hivi Dr Kitla ni Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji

Juliana Shonza ni Naibu Waziri wa Michezo

Mtela Mwampamba ni DAS au Katibu Tawala wa Wilaya

Zitto bado anatazama nitoke vp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…