kanisani mnaenda kuwinda kumbe daaaaah,
Kumbushia kwa kuzini mkuu? huoni kama kanisani ndio itakua ni sehemu ya kukutania wazinifu? unaliongeleaje hili?...Ibada au mgegedo?
naunga mkono wadudu tu hao,hayajakukuta wew na tena utaona wadudu nafuu,cjui utawaita nanLike seriously unawaita "wadudu"!!!!!!wanawake unawaita wadudu!!!!!!mwanamke aliumbwa mdudu alitamkwa tu akatokea ila wewe leo unaona leo wote wadudu tu!!!duh!!!!
Haya bhana subir jmapili nyingne ukamuone tena........ Kila mtu ananyota yake nafkir ww nyota yako ni ya kulilia wanawake. Kwan wanawake wameisha?!
ni hatar sana kumpenda mtu usie mwona kwa muda wote huo.take care