Mume umri miaka 35 mpaka 45
Awe mkristo
Mfanyakazi au awe na shughuli yoyote ya kipato cha kutosha
Awe mkweli,mwenye mapenz ya kweli kwa mke wake na watoto ikiwa mungu akitujaliwa
Awe mkazi wa dsm,pwan au moro.
Mimi ni mama
Miaka 32
Mkristo
Mjasiriamali...