Mwenyekiti wangu Mbowe unashindwa wapi ?

Chadema wamegeza Chama mtaji wa kujinufaisha wao binafsi na familia zao haswa kwa Top officer, Kama Wameshindwa kuwa serious hata kujenga HQ tu, hatuwezi kuwapa nchi wahuni hao
 
Kama ofisi ya chama imewashinda pamoja na kupata ruzuku kubwa je nchi wataiweza??

Ni nyumbu pekee ndie atakayeweza kuwaamini hawa Jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…