Anatekeleza ilani ya Uchaguzi ya CCM ambayo ameapa kuilindaMwkit wa uv ccm wilaya ya Arumeru magharibi jmbo la naibu waziri wa ardhi Godluck ole Medeye, BONFAS LAIZER, amehukumiwa kifungo au kulipa fain na mahakama ya maromboso iliyopo katikat ya jiji la Arusha kwa kosa la kutapeli wananchi pesa za shamba.mwenykt huyo amekuwa na kawaida ya kutapeli wananchi kwa kuuza viwanja mara mbili na kutokomea na pesa za wananchi.tayari mh huyo alievaa viatu vya serikali yake kwa utapeli,amechagua kulipa fain ya laki 6 na ameshalipa laki3. Ndg Bonifasi ameacha vurugu kubwa sana ndani ya umoja huo wa vijana wa ccm kwan tayari wanaccm wenyewe wameanza kumkataa kiongoz huyo na saini 20 za wanaccm za kutokuwa na imani nae ili wamwondoe.
Hatua hiyo ya kukusanya sain imekuja wakati kukiwa na taarifa kuwa baadhi ya wanachama wanataka kukihama chama hcho kujiunga na cdm, na pia kusikia taarifa kuwa m4c inataka kutua kwa ole medeye kuivuruga ccm.
SOURCE: sunrise redio ya Arusha..
hope watamtoza faininaona kama changa la macho uhenda sheria ikapindishwa.
Mwkit wa uv ccm wilaya ya Arumeru magharibi jmbo la naibu waziri wa ardhi Godluck ole Medeye, BONFAS LAIZER, amehukumiwa kifungo au kulipa fain na mahakama ya maromboso iliyopo katikat ya jiji la Arusha kwa kosa la kutapeli wananchi pesa za shamba.mwenykt huyo amekuwa na kawaida ya kutapeli wananchi kwa kuuza viwanja mara mbili na kutokomea na pesa za wananchi.tayari mh huyo alievaa viatu vya serikali yake kwa utapeli,amechagua kulipa fain ya laki 6 na ameshalipa laki3. Ndg Bonifasi ameacha vurugu kubwa sana ndani ya umoja huo wa vijana wa ccm kwan tayari wanaccm wenyewe wameanza kumkataa kiongoz huyo na saini 20 za wanaccm za kutokuwa na imani nae ili wamwondoe.
Hatua hiyo ya kukusanya sain imekuja wakati kukiwa na taarifa kuwa baadhi ya wanachama wanataka kukihama chama hcho kujiunga na cdm, na pia kusikia taarifa kuwa m4c inataka kutua kwa ole medeye kuivuruga ccm.
SOURCE: sunrise redio ya Arusha..
Jamaa anatekeleza ilani ya ccm
like father,like son