Mwenyekiti wa serikali za mtaa gongo la mboto

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Jul 17, 2014
2,379
2,047
Jamani habari za usiku,poleni na majukumu ya kutwa mzima,

Huyu mwenyekiti Bakari Shingo na uongozi wake kuna aliye na taarifa kamili maana nimepata habari kuwa Jana alifungiwa ofisi
 
Sina taarifa ila tangu aingie madarakani hana ushirikiano kabisa na wananchi & ukabaji umeongezeka...tulichagua upinzani tukijua hali itabadilika ila naona mambo yameenda ndivyo sivyo..km wamemfungia its well n Good..atajifunza kitu
 
Mambo ya Goms hayo, uchawi, bange wapiga debe, roba za mbao, daladala zinapiga U-turn katikati ya highway. Daah! Goms ni nchi nyingine yani.
 
Huko Magongolamboto ihamishiwe Halmashauri ya kisarawe kulinda hadhi ya Jiji letu!
 
Back
Top Bottom