TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Hivi ni kwanini Wanachama wengine wa CCM hawapewi nafasi ya Kugombea Uwanachama wa CCM Taifa? Kuna watakaojibu hapa Kuwa kwa kuwa sifa ni lazima uwe Rais wa Tanzania ndio Ugombee Uwenyekiti wa CCM! Je ikiwa Mwaka 2020 Lowassa au Mgombea Mwingine wa UKAWA akashida Urais basi CCM itakoma Kuwa na Mwenyekiti wa Taifa?
Nimesema hivi ili niwaombe wanapiga Kelele ati Mbowe aweke Kikomo cha Kuwa Mwenyeki wa Chadema waache Mbinu zao hizo Chafu. Wanataka Chadema impate "Lipumba" watakaoweza Kumnunua.
Naleta Solution ya Kiabunuwasi, Mimi nitoe changamoto, kama Mnataka Mbowe aondoke wacheni wanachama Wamuondoe, Kufanyike Mikutano Mikubwa mikuu Miwili mmoja wa CCM na Mwingine wa Chadema. Mbowe aruhusu Wagombea hata kumi wagombee na Yeye, Lakini Magufuli agombee na Wanachama wawili tu. Tutakata Mzizi wa Fitina, Tutajua ni Nani anapendwa na Chama Chake!