GE2025 Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini, Humphrey Nsomba achukua Fomu kugombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini

GE2025 Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini, Humphrey Nsomba achukua Fomu kugombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Mwenyekiti wa Ccm Mbeya Mjini Humphrey Nsomba amechukua Fomu kugombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Jimbo hilo lilikuwa linaongozw na Mbunge anayenliza muda wake Dkt Tulia Akson ambaye ameonesha nia ya Kugombea Jimbo la Uyole Baada ya Jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa na kupatikana majimbo mawili, jimbo la Mbeya mjini na jimbo la Uyole

 
Bado hajatosha, ngoja tuone wengine...
 
Angegombea na sugu sugu angechua ushindi mapema kabisa
 
Duh.. kila mtu huko chama cha Mambuzi anawaza kuwa MBUNGE,..ajabu kweli kweli
 
Back
Top Bottom