Mwenyekiti wa Canada Bunge la jumuiya ya Madola ashtushwa kupigwa risasi Lissu, amtaka Magufuli kukomesha uhalifu

 
Kumekucha.......

Sasa Jumuiya ya kimataifa ishaanza kuingilia uvunjaji wa haki za binadamu nchini

Imeanza nchi ya Canada kumwambia Magu aache kutawala "kimabavu" ngoja tusubiri na hao wengine watafuata.........
 
Huku aman ipo apambane na hali yake
 
Mhhhhh mbona hajachukua hatua pale Nigeria,, boko haramu inayosumbua vile, au Nijeria hawako chini ya Jumuia ya madola
 
Nchi yetu inachafuka kimataifa,,,wakati wa KIKWETE ilikuwa inang'aa kimataifa aisee,,,hatukuwai kusikia upuuzi kama unaotokea sasa wa watu kutekana na kuuana oovyo
 
unabeep au...
 
Yaani yale tuliyoyakemea sisi kipindi kile nchi yetu ikiwa na Rais ndio sasa tunakemewa sisi. Kuna mahali tumepotea na tunatia aibu duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…