Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,545
- 9,042
Tuwe wakweli, Simba haina consistence kwenye uchezaji kiasi sisi kama mashabiki wa Simba kea msimu huu tunaishi kwa matumaini zaidi kuliko tunavyopaswa tuishi. Simba inaweza kucheza mpira kwa kiwango cha juu sana katika game A lakini ikaja kucheza mchezo mbovu usio mfanowe kwenye game B. Hili ni tatizo.
Kadhalika, katika kufuatilia kwangu soka, sijaona timu kubwa ikicheza kwa style ya Simba iliyotumia mwaka huu, kwamba kwa msimu mzima Simba haina 1st eleven wala supersub. Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, plz chukua hatua au jitafakari. Tuambieni ukweli kuna shida gani hasa. Kama kuna tatizo la kifedha, tuambiwe Ili wanachama/ wapenzi na mashabiki tuchangie. Si ajabu kufanya hivyo.
Sioni shida kubwa upande wa wachezaji kwa maana ya vipaji. Ila naona shida ya wachezaji kutocheza kwa mfumo utadhani ni mashindano ya ndondo. Kuna clear weaknesses za kimafunzo kiasi wachezaji hawafungui, au skills za kugeuka wakiwa na mpira. Lakini pia kitendo cha kukosa nafasi nyingi za wazi, inaonyesha ni kama hawafundishi maeneo gani unatakiwa ufunge au utoe pasi kea mfungaji wa mwisho. Psychology ya wachezaji pia ni kama hawajui dhima na dhamana wakiyobeba kwa watanzania au mashabiki wao. Hatua zichukuliwe.Bora tu wamesajili wachezaji vimeo sana. Huyu Kocha naye wamemuokota na hana experience ya kubeba kombe sehemu yeyote.
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Tuna wachezaji wa kawaida sana ndo level zao hizo. Huwezi kupata magoli kama una forward aina ya Mugalu na Kiungo kama cha Mkude na KanouteSioni shida kubwa upande wa wachazaji kwa maana ya vipaji. Ila naona shida ya wachezaji kutocheza kwa mfumo utadhani ni mashindano ya ndondo. Kuna clear weaknesses za kimafunzo kiasi wachezaji hawafungui, au skills za kugeuka wakiwa na mpira. Lakini pia kitendo cha kukosa nafasi za wazi, inaonyesha ni kama hawafundishi maeneo gani unatakiwa ufunge au utoe paso. Psychology ya wachezaji pia ni kama hawajui dhima na dhamana wakiyobeba kwa watanzania au mashabiki wao. Hatua zichukuliwe.
Hakuna Timu Duniani inaweza kushinda mfululizo.muda wote ....kumbuka Barca ya kina Messi,Iniesta....Leo Iko wapi,mnawalaumu Simba kwakulinganisha na Yanga,maisha hayapo hivo...Angalia hata Ahly huwa Ina drop na Zamaleck inapanda...muwe waelewaSioni shida kubwa upande wa wachazaji kwa maana ya vipaji. Ila naona shida ya wachezaji kutocheza kwa mfumo utadhani ni mashindano ya ndondo. Kuna clear weaknesses za kimafunzo kiasi wachezaji hawafungui, au skills za kugeuka wakiwa na mpira. Lakini pia kitendo cha kukosa nafasi za wazi, inaonyesha ni kama hawafundishi maeneo gani unatakiwa ufunge au utoe paso. Psychology ya wachezaji pia ni kama hawajui dhima na dhamana wakiyobeba kwa watanzania au mashabiki wao. Hatua zichukuliwe.
Sio kwamba huwa wanaongeza sifuri mbele kweli?Timu ya usajili Simba ndo inatuangusha maana inaonekana inasajili kwa bei kubwa ila mmmmh
Bora tu wamesajili wachezaji vimeo sana. Huyu Kocha naye wamemuokota na hana experience ya kubeba kombe sehemu yeyote.
Sioni shida kubwa upande wa wachazaji kwa maana ya vipaji. Ila naona shida ya wachezaji kutocheza kwa mfumo utadhani ni mashindano ya ndondo. Kuna clear weaknesses za kimafunzo kiasi wachezaji hawafungui, au skills za kugeuka wakiwa na mpira. Lakini pia kitendo cha kukosa nafasi za wazi, inaonyesha ni kama hawafundishi maeneo gani unatakiwa ufunge au utoe paso. Psychology ya wachezaji pia ni kama hawajui dhima na dhamana wakiyobeba kwa watanzania au mashabiki wao. Hatua zichukuliwe.
Vyovyote itakavyokuwa lakini SIMBA ITABAKI KUWA TIMU BORA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA TANZANIA.
Bayern Munich anachukua Sasa taji miaka 10. MfululizoKwenye mpira wa miguu hakuna timu iliyowahi kuwa na consistence kwa miaka yote, lazima timu moja i drop ili nyingine ipande. Iyo ndo ladha ya soka mkuu