Bora akae kimya maana akiongea utatamani dunia ipasuke ujifiche kabisa usisikieKwakweli Rais hajaguswa na huu msiba mzito, ni aibu kuona Kenyatta anaumia kwa vifo vya watoto wa Tanzania wakati Rais Wa Tanzania anaonekana kama haimuhusu
Una Uhakika Mkuu Mimi Kukuonaga Pale UDSM kama Legal Officer Wao huwa nafikiri utakua na AkiliMkuu Troll JF, hebu acha uongo,utapeli na ulaghai hata kwa mambo ya msingi. Uongo unakusaidia nini? Wapi alipotajwa Rais na kuombwa siku za maombolezo? Kampeni zenu za kumchafua Rais zitawatokea puani. Uwe makini unapomtaja Rais. Chunga sana Mkuu!
CHADEMA wasanii mwenyekiti wa wanawake taifa hana mume wala mtoto tafuteni mwenye hadhi kama hamna mpeni sophia simba tuliyemtimua CCM. kasichana check sister halima mdee kuitwa mwenyekiti wa wanawake chadema sitambui mbowe na wenzio oneni aibu loooooo.Hizo salamu za Pole sizitambui .mpeni hata Mama lowasa au sumaye au Mama mbowe au Mama tundu lisu. Hako ka sister du loooooBora akae kimya maana akiongea utatamani dunia ipasuke ujifiche kabisa usisikie
CHADEMA wasanii mwenyekiti wa wanawake taifa hana mume wala mtoto tafuteni mwenye hadhi kama hamna mpeni sophia simba tuliyemtimua CCM. kasichana check sister halima mdee kuitwa mwenyekiti wa wanawake chadema sitambui mbowe na wenzio oneni aibu loooooo.Hizo salamu za Pole sizitambui .mpeni hata Mama lowasa au sumaye au Mama mbowe au Mama tundu lisu. Hako ka sister du looooo
naona alikuwa kwenye kikao, ila alitoa neno kupitia kwa msigwa,Kwakweli Rais hajaguswa na huu msiba mzito, ni aibu kuona Kenyatta anaumia kwa vifo vya watoto wa Tanzania wakati Rais Wa Tanzania anaonekana kama haimuhusu
Ref tetemeko kule kageraKwakweli Rais hajaguswa na huu msiba mzito, ni aibu kuona Kenyatta anaumia kwa vifo vya watoto wa Tanzania wakati Rais Wa Tanzania anaonekana kama haimuhusu
Wewe mwenyewe huna mume hivyo utatufaaCHADEMA wasanii mwenyekiti wa wanawake taifa hana mume wala mtoto tafuteni mwenye hadhi kama hamna mpeni sophia simba tuliyemtimua CCM. kasichana check sister halima mdee kuitwa mwenyekiti wa wanawake chadema sitambui mbowe na wenzio oneni aibu loooooo.Hizo salamu za Pole sizitambui .mpeni hata Mama lowasa au sumaye au Mama mbowe au Mama tundu lisu. Hako ka sister du looooo
Kamwachia polepolenaona Zana Za Kilimo yuko busy na Boeing!
Huwezi salama kichwani mwako. Naamini, utakuwa na mambo yanakutesa na kukufanya uone Chadema ndiyo liwazo lako.CHADEMA wasanii mwenyekiti wa wanawake taifa hana mume wala mtoto tafuteni mwenye hadhi kama hamna mpeni sophia simba tuliyemtimua CCM. kasichana check sister halima mdee kuitwa mwenyekiti wa wanawake chadema sitambui mbowe na wenzio oneni aibu loooooo.Hizo salamu za Pole sizitambui .mpeni hata Mama lowasa au sumaye au Mama mbowe au Mama tundu lisu. Hako ka sister du looooo
wazo lako ni jema sana, napenda kuongezea pia, ifanyike harambee wa kununua bus jipya la shule naimani kampuni kama TATA/Eicher/Benbros/Quality Garege wanaweza wauzia kwa punguzo la bei yakapatikana hata mabus matatu.Kwnaza niwape pole ndugu na marafiki wa watoto ambao hatunao tena. Mungu awalaze mahali pema peponi. Amina. Tusali tuwaombee kwa pamoja kwa imani zetu.
Tunaona viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi wakitoa rambirambi zao. Ni Jambo la kufariji
Niwaombe watanzania wote na wale wanaotumia mitandao ya kijamii; wakati huu, ni wakati wa kuwatendea haki watoto kwa tunachokiandika. Mapendekezo ya Halima Mdee ni mapendekezo. Tunapojadili pendekezo lake tujitenge na mambo amabyo sidhani kama lilikuwa lengo la Halima Mdee. Serikali itaona ifanye nini. Mpaka sasa serikali ipo pamoja na hawa wafiwa kupitia mkoa.
Baada ya kuwahifadhi ndugu zetu-na imani yangu kuwa watapokelewa kwa Baba yetu Mungu Mwenye Enzi; Tukae kama jamii tujadili:
Tumepoteza watoto katika majanga mengine mbalimbali. Ni vigumu kuwa na utaratibu mmoja katika haya mambo. Ni namana ya kuona katika hali tulio nayo sasa, tufanye jambo gani; kwa wafiwa na kwa jamii ya sasa na ijayo
- Kuna waliosema tujenge mnara wa kumbukumbu. Tumeona hili likifanyika ilipotokea ajali njia ya Singinda, na njia ya Moshi-Arusha walikofia watalii pale mtoni. Jambo kama hili litawakumbusha vizazi vijavyo haya mambo. Ila inahitaji ruhusa ya wafiwa (consent). Maana wazazi watakuwa na alama na kumbu kumbu zao watakapokuwa wamewahifadhi wapendwa wetu.
- Ningependekeza pia ianzishwe aina fulani ya foundation kuwaenzi hawa watoto, na pia kuwasaidia watoto wengine na jamii kwa ujumla. Inaweza itatengenezewa mission, vision na mikakati kwa lengo la kuihamazisha jamii kupitia njia mbalimbali juu ya usalama barabarani. Ukipitia chunguzi za ajali za ndege nyingi kwa mfano; utaona inapogundulika tatizo la chanzo cha ajali, kunakuwa na marekebisho yanafanyika katika utaratibu mzima. Tumeona jinsi serikali ilivyo weka utaratibu wa sherehe za watoto kwenye kumbi baada ya ajali ya Tabora. HATUWEZI KUKAA KIMYA
- Tunaweza kutengeneza namana ya kujenga shule kubwa ya kuwaenzi hawa. Shule hii ikasaidia watu wenye mahitaji maalumu katika mkoa wa Arusha
- Kuna watoto wale waliobaki. Watakuwa wameaddhirika kisaikologia, pamoja na wazazi wao. Tuwasidie hawa waweze kusimama kwa mapenzi ya Mwenye Enzi Mungu ili waweze kuendelea mbele. Madhehebu yanaweza kusaidia kwa idhini ya wazazi kwa namna watakavyo ona inafaa.
Wazazi, ndugu na jamaa, kama mzazi mwenzenu niwapeni pole sana.
Mungu awalaze mahali pema peponi. Amina
Natamani kukutusi ila basi tuCHADEMA wasanii mwenyekiti wa wanawake taifa hana mume wala mtoto tafuteni mwenye hadhi kama hamna mpeni sophia simba tuliyemtimua CCM. kasichana check sister halima mdee kuitwa mwenyekiti wa wanawake chadema sitambui mbowe na wenzio oneni aibu loooooo.Hizo salamu za Pole sizitambui .mpeni hata Mama lowasa au sumaye au Mama mbowe au Mama tundu lisu. Hako ka sister du looooo
wazo lako ni jema sana, napenda kuongezea pia, ifanyike harambee wa kununua bus jipya la shule naimani kampuni kama TATA/Eicher/Benbros/Quality Garege wanaweza wauzia kwa punguzo la bei yakapatikana hata mabus matatu.
Pili, serikali itoe tamko ya ma bus yote ya shule yakaguliwe na veko na yapitishwe na afisa elimu mkoa kabla ya kutumika kwa ajiri ya usafiri wa wanafunzi, ipigwe marufuku kusafirisha wanafunzi nje ya wilaya bila kibali cha afisa elimu wilaya, marufuku kusafirisha wanafunzi nje ya mkoa bila kibali cha afisa elimu mkoa.
mkuu nachosema ni nini all Private Schools ziko centred kwa kamishna wa elimu, kila kitu kwa kamishna wa elimu, sasa ifike muda madaraka wagatuliwe kwa watu wa chini kama afisa elimu mkoa na wilaya.Ni Kama uko ndani ya ubongo wangu. Nilichelea kutoa vitu specific nikiamini yapo mengi sana ya kufanya. Kwa mfano; mabasi ya watoto hapa Dar yanajazana zana, Mengi ni mabovu. Kwa hiyo naungana na wewe 100%. Ila tusiweke urasimu sana kwenye uendeshaji wa shule. Nadhani wakuu wengi wa shule ni wasomi-na ni kati ya jamii ambayo ni rahisi kubadilika. Pia kuwe na namna fulani ya autonomy kwa mkuu wa shule za binafsi kupitia body zao. Maamuzi yao mengi yanaingiwa na wamiliki. Body zibaki kutoa startegic directions tu, na uendeshaji kila siku wa shule ubaki katika chombo kingine.
Yapo mengi sana ya kufanya. Wenye shule pia wahusishwe
Serikali pia ingetoa nafuu maalumu kuagiza gari kwa ajili ya matumizi ya shule; bila kujali binafsi au public. Hakuna kitu muhimu kwenye nchi kama ku-support elimu.