1.malazi huwezi kosa, hostel nyingi n standard(utakuta kitanda na godoro na kabati la nguo)
2.vaa kwa heshima kma mtanzania
3.cafeteria zipo nyingi (bei kawaida affordable)
4.daladala nauli 400 gari zimeandikwa udom bondeni n tax 10,000/=.
NB: inategemea na unasoma course gani ndo utajua unashukia wapi. Mf.law, sociology, political sciences n.k utashukiw school of social sciences... acciunts, commerce, BAED n.k utashukia school of humanities(bondeni)