Mwenye wasifu wa Kulwa Biteko

Kasunguranyama

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
499
Reaction score
369
Wadau niende kwenye mada. Naomba nisaidiwe kujua CV ya Kulwa Biteko ili nimfahamu vizuri huyu mbunge wangu wa Busanda ajae kwa kasi

Dotto na Kulwa Biteko​
 
Naona wapwa zake Magufuli wameamua kweli awamu hii ya mjomba wao. Imebaki miaka mitano. Watumie muda vizuri.
 
Naona wapwa zake Magufuli wameamua kweli awamu hii ya mjomba wao. Imebaki miaka mitano. Watumie muda vizuri.
Mh wapwa tena!! Sie tunataka mbunge mwenye kujenga hoja mkuu. Bukwimba licha ya kuwa na madiwani wengi toka Busanda katka Geita council alizidiwa kete na Msukuma hospital ya wilaya ikajengwa nzera. Tunamshukuru JPM katuonea huruma na sie katupa hospital yenye hadhi ya wilaya. We need Biteko perhaps can do something
 
Huyu Doto Kama Mbunge Milya wa Simanjiro, huenda kuna wamasai Geita.
 
Wadau niende kwenye mada. Naomba nisaidiwe kujua CV ya Kulwa Biteko ili nimfahamu vizuri huyu mbunge wangu wa Busanda ajae kwa kasi

View attachment 1482725
Dotto na Kulwa Biteko​
Haya majamaa kumbe ni identical twins? Safi sana, kwani ubunge nao unahitaji CV? Mbona ka Musukuma hakana CV lakini ni ka Bunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…