Mwenye Updates za PCCB

salumbig5

Senior Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
111
Reaction score
16
Naomba kuuliza kama kuna yeyote mwenye tetesi na PCCB juu ya wale waliofanyiwa oral interview nawasilisha..
 
mkuu,
endelea kuwa na subira kuanzia jumatatu waweza jua nn cha kufanya.5
 
Mwezi wa nne bst ndo wanaita watu job,so endelea kusubiria tu
 
ww hukuitwa kwenye oral?

No kaka ndugu yangu ndo kafanya lakini ye hayuko kwenye hili jamvi na ndio maana nimechukua nafasi hii kuuliza kwa niaba yake coz najua jf kuna watu ambae watatusaidia kupata habari
 
Ndio tunahitaji uvumilivu lakin watoe majina ya watu waliofanikiwa kwenye web yao ndipo watu waendelee kuvumilia kuliko sasa,ukizima simu kidogo tu kosa,ushauri tu
 
Ni kweli tumbo linauma,sasa hao pccb waweke majina then watu waendelee kusubiri kureport kazini
 
Dah! Jamaa nao wamekaa kimya zamani ulikuwa ukiomba kazi ni mwezi mmoja ulishapata siku hz mpaka baada ya mwaka ndiyo upate. Tanganyika ingekuwepo nisingeteseka naipenda tanganyika yangu.
 
usiseme hivyo mkuu,mi nachoona huu ni unyanyasaji wa kifikira,baada ya kutuweka tuwe attention muda wote,si tuwaombe tu pccb watoe majina then watu waendelee kusubiri kulipoti kazin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…