Mwenye Updates COASCO Dodoma

Mwenye Updates COASCO Dodoma

CHAWAPOMA

Member
Joined
Mar 18, 2012
Posts
22
Reaction score
9
Mwenye any updates about COASCO dodoma, walitoa nafasi 11 audit officers na deadline ishapita tusaidiane
 
jamani COASCO DOM VIPI TUJUZENI JUU YA USAHILI WA NAFASI 11 MLIZOZITOA MAANA DEADLINE ILISHAPITA TOKA TAREHE 9/MAY/2014.
 
Mimi Niko hapa COASCO Dodoma mambo bado jamani ndio wanamalizia kushort-list majina yenu. Mpaka Jana mlikua mmefika 3200 ngoja tuone mpaka weekend hii...chamsingi andaeni tu nauli zenu kuja dom. Venue ni st john unv....
 
Do u understand what confidentiality means?
 
afu ndo unataka utupe update kwa majibu hayo cjui akili zako zina kg ngap?

Majina yote walioshostilia COASCO Dodoma ninayo hapa gheto nimeyabandika ukutani nayaangalia mwenyewe kila Siku taratiiiiiib...
 
kumbe unaishi gheto bas ni haki yako kuongea ivo

Kijana usilie sana coz jina lako pia lipo japo limewekwa la mwisho (3200) kulingana na GPA yako hivyo usijali jombaa tutakuita tu...I love yhu
 
Back
Top Bottom