Mwenye update za NMB Dodoma

Mwenye update za NMB Dodoma

Wameanza kuita leo,kuna mtu tulifanya nae ameitwa leo akaripot alhamic ,wengne tusubir may b ksho au ndo basi tena
 
Kuna madada wameitwa ambao walikua wanafanya kazi za KYC watatu,ila kaa stand by maana wameita sijui niseme au wamechukua wale waliokua wanafanya NMB Ambasador ambao kumbe walitakiwa wasiapply sasa sijajua mpk wanawaweka wale walikua hawajui maana ajira zao zimefutwa hawatakiwi waaply so haieleweki wataitwa wengine kujaza nafasi zao ama vipi...so stay tuned!!!
 
kwa nn waitwe wadada tu?.....tz bado sana TUTAANZA KUTEMBEA NA MABOMU SASA
 
Wale waliofanya oral interview kuna aliyeitwa tayari?
Kuna jamaa zangu wawili wameitwa toka wiki iliyopita na contract wamesaini tayari, J4 ya keshokutwa wanaitajika waripoti vituo vyao vya kazi
 
Kuna madada wameitwa ambao walikua wanafanya kazi za KYC watatu,ila kaa stand by maana wameita sijui niseme au wamechukua wale waliokua wanafanya NMB Ambasador ambao kumbe walitakiwa wasiapply sasa sijajua mpk wanawaweka wale walikua hawajui maana ajira zao zimefutwa hawatakiwi waaply so haieleweki wataitwa wengine kujaza nafasi zao ama vipi...so stay tuned!!!

Kwan wale hawatakiw kuapply??kuna uhakika kwamba wataita wengine au?
 
NMB kuna mshikaji wangu kapata but alikuwa anafanya nao before.
wanao apply mara ya kwanza inakuwa ngumu kupata. sikatishi tamaa but mimi hii bank haipo kwenye target zangu
 
kuwa karib nw wanaita for marketing,kwa wale waliofanya intervw
 
Back
Top Bottom