Mwenye Update Kuhusu Acess Bank

Mwenye Update Kuhusu Acess Bank

miri

Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
34
Reaction score
1
hawa watu wameshaanza kuitaa watu kwa ajir ya usaili
???
 
kama nikuhusu intrvs washaanza kuita, mm wamenipigia cm leo . Naomba ambaye ameshafanyaga intv Access post ya cashier anijuze ni maswali gani huwa wanaulizaga na intrv zao zinakuagaje? Na je huwa wanarudishaga/kutoa hela ya accommodation kwa wa2 wanaotoka mikoani... Natanguliza shurani zangu wana jamvi
 
Back
Top Bottom