Kabsa bro upo sahih, maan mtu akifa amekata mawasilian kabs ya dunian , so uyo ataend kuongea na majini tu, alaf baadae yatakua yanamsumbua mara yatamuamrisha fany ivi na vile nayeye atafany maan atajua mama ake nd amemuagiza
Vip mwenzetu ushajulishwa au kijana bado hajaenda kaburini kwa mama yake?
Vijana wanaojifunza bangi iliyochanganywa na mavi ya mbuzi wana shida sana aisee.