prakatatumba
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 1,328
- 192
1. nikifungua task manager inaniambia has been disabled by ur administrator wakati kabla ilikuwa haisemi hivi
2. jinsi ya kuondoa start up tone i.e ukiwa unawasha au kuzima computer kuna sauti huwa inatoka sasa nataka kuindoa lakini cjui,
NATANGULIZA SHUKRANI
Task Manager
Why is Task Manager Disabled? - How-To Geek
Startup Sound
How To: Enable/Disable Startup Sound In Windows 7
Try to do something .Just google. Ukikwama wafahimshe wataalamvp kuhusu xp 2002 pack3