Mwenye uhitaji wa kokoto za msolwa cheusi

Mwenye uhitaji wa kokoto za msolwa cheusi

Ally Abdulrahman

Senior Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
196
Reaction score
319
Nina Kokoto zangu zipo site nauza maana wajuba wanaziiba kila nikienda zinapungua so ni Bora niuze ili nipunguze hasara.

Kokoto zipo Kigamboni Dege. Ukiwa maeneo ya Cheka mwongozo. Dege. Geza na maeneo ya karibu nitagharamia usafiri mwenyewe nitakuletea mpaka site.

Nauza bei ya Kitonga Sana kwa cubic meter 1 nauza 100,000. Ukichukua zote tutayajenga

0719172499. Karibuni
 
Asante mkuu, sema huko ni mbali ingekuwa huku Madale ningekuchukua km Cubic M 5.
 
Back
Top Bottom