Reference Number 1617129141 Make: MAZDA Model: DEMIO Body Type: HATCHBACK Year of Manufacture: 2007 Fuel Type: PETROL Engine Capacity: 1001 - 1500 CC Customs Value CIF (USD): 2204.94 Import Duty (USD): 551.23 Excise Duty (USD): 137.81 Excise Duty due to Age (USD): 413.43 VAT (USD): 638.11 Custom Processing Fee (USD): 13.23 Railway Dev Levy (USD): 33.07 Total Import Taxes (USD):1786.88
Total Import Taxes (TSHS):3861447.68
Vehicle Registration Tax (TSHS): 420000.00 TOTAL TAXES (TSHS):4281447.68
Reference Number 1617129141 Make: MAZDA Model: DEMIO Body Type: HATCHBACK Year of Manufacture: 2007 Fuel Type: PETROL Engine Capacity: 1001 - 1500 CC Customs Value CIF (USD): 2204.94
Thanx mkuu, vipi kama CIF ya TRA ikitofautiana na CIF ya kampuni unayonunulia? Mfano utakuta gari linauzwa $800, CIF Dar ni $1900, Lakini ukija TRA watasema CIF $2400, je inaathiri vipi mchakato mzima? Any experience?
Ndugu jaribu kutafuta Gari mbadala wa hio yaani substitute. Iwe toyota, Gari zilizo adimu kwenye soko kila kitu kuzihusu ni haba. Kuanzia huduma, utaalam na vifaa.
Mimi kwa upande wangu ningependa kujua kuhusu Toyota brevis ikoje hasa kwa safari ndefu na milimani kwa wenye uzoefu. Pili vipi upatatikanaji wa spare. Naomba msaada wakuu
Thanx mkuu, vipi kama CIF ya TRA ikitofautiana na CIF ya kampuni unayonunulia? Mfano utakuta gari linauzwa $800, CIF Dar ni $1900, Lakini ukija TRA watasema CIF $2400, je inaathiri vipi mchakato mzima? Any experience?
Mi pia ninakaelewa sana hako ka demio hasa ile model ya nyuma kabla ya hio mayai. Ina mkunjo mzuri sana wa body tofauti na vile vigari vyenye shepu ya viatu vya kitoto, ist na mwenzake vits!