huezi kuchelewa kurepoti mkuu mana barua zote zina tarehe na kule utumishi wanaelewa hlo,binafsi nlipata kazi nov 2012 nlipata barua des na nlipokelewa vizuri tu na hatimae wizara yangu january 2013 ilinipangia kituo cha kazi hapa,km una nauli ifute dar km huna nauli subir tu mkuu,afu isitoshe utumishi hawatumi barua moja kwa siku ila zikiwa tayari zote ndiyo zinatumwa kwa pamoja,ushauri wangu vumilia tu mkuu utaipata hpo hakuna kuchakachua kamanda