Mwenye ufahamu na hili la CRDB tafadhari

Mgaagaa

Member
Joined
Apr 16, 2019
Posts
37
Reaction score
28
Kama unakopa hela Bank ya CRDB hasa mikopo ya watumishi wa umma kuna fedha wanaiita ada ya mkopo inakatwa mkopo wako ukiingia hii imekaaje? Hakuna upigani hapo, Reply plse kukipambazuka naingia mjengoni.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna shida mkuu. Ni utaratibu wa karibu banks zote unatakuwa kulipia hiyo kitu. Wanapishana rate tu. Kajiripue tu ya kutosha uchukue mnyama Athlete utusumbue mjini 😁😁
 
Back
Top Bottom