bruno2014 Member Joined Aug 24, 2016 Posts 5 Reaction score 0 Aug 29, 2016 #1 Habari wanajamvi; Nataka nisome foundation course ili niende chuo kikuu mwakani, nani mwenye uelewa wa hizo kozi anisaidie mawazo tafadhali.
Habari wanajamvi; Nataka nisome foundation course ili niende chuo kikuu mwakani, nani mwenye uelewa wa hizo kozi anisaidie mawazo tafadhali.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,903 Aug 29, 2016 #2 Foundation course zimesimamishwa kwa muda mpaka utaratibu mpya utakapo tangazwa. (kichaguliwe chuo kimoja kiwe kinatoa kwa niaba ya vyuo vyote) japo sina uhakika lakini inasemekana itakuwa hivyo.
Foundation course zimesimamishwa kwa muda mpaka utaratibu mpya utakapo tangazwa. (kichaguliwe chuo kimoja kiwe kinatoa kwa niaba ya vyuo vyote) japo sina uhakika lakini inasemekana itakuwa hivyo.
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,197 Aug 29, 2016 #3 Sasa hivi kuna mabadiliko mengi hebu tulia kwanza maana hizo kozi za msingi ni kama vile zimesimamishwa kwa sasa
Sasa hivi kuna mabadiliko mengi hebu tulia kwanza maana hizo kozi za msingi ni kama vile zimesimamishwa kwa sasa
Dennis002 Senior Member Joined Aug 18, 2014 Posts 149 Reaction score 52 Aug 29, 2016 #4 Hakuna foundation courses nowadays
bruno2014 Member Joined Aug 24, 2016 Posts 5 Reaction score 0 Aug 29, 2016 Thread starter #5 Vipi kurisit advanced MTU analisit masomo yote
fortunate_goustone Senior Member Joined May 5, 2013 Posts 113 Reaction score 26 Aug 30, 2016 #6 bruno2014 said: Habari wanajamvi; Nataka nisome foundation course ili niende chuo kikuu mwakani, nani mwenye uelewa wa hizo kozi anisaidie mawazo tafadhali. Click to expand... Tulia hapo hapo.... Huo mchezo umefutwa na TCU mwaka huu
bruno2014 said: Habari wanajamvi; Nataka nisome foundation course ili niende chuo kikuu mwakani, nani mwenye uelewa wa hizo kozi anisaidie mawazo tafadhali. Click to expand... Tulia hapo hapo.... Huo mchezo umefutwa na TCU mwaka huu
fortunate_goustone Senior Member Joined May 5, 2013 Posts 113 Reaction score 26 Aug 30, 2016 #7 bruno2014 said: Vipi kurisit advanced MTU analisit masomo yote Click to expand... Ndio mkuu