Mwenye uelewa wa foundation course

Mwenye uelewa wa foundation course

bruno2014

Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
5
Reaction score
0
Habari wanajamvi;

Nataka nisome foundation course ili niende chuo kikuu mwakani, nani mwenye uelewa wa hizo kozi anisaidie mawazo tafadhali.
 
Foundation course zimesimamishwa kwa muda mpaka utaratibu mpya utakapo tangazwa. (kichaguliwe chuo kimoja kiwe kinatoa kwa niaba ya vyuo vyote) japo sina uhakika lakini inasemekana itakuwa hivyo.
 
Sasa hivi kuna mabadiliko mengi hebu tulia kwanza maana hizo kozi za msingi ni kama vile zimesimamishwa kwa sasa
 
Back
Top Bottom