C Captain A Member Joined Dec 25, 2016 Posts 67 Reaction score 164 Sep 17, 2023 #1 Wadau naomba msaada kutaka kujua kuhusu hiyo course inayotolewa chuo cha DIT kama inaweza kulipa kwenye soko la sasa la Ajira.
Wadau naomba msaada kutaka kujua kuhusu hiyo course inayotolewa chuo cha DIT kama inaweza kulipa kwenye soko la sasa la Ajira.
The introvert JF-Expert Member Joined Sep 15, 2023 Posts 1,259 Reaction score 2,565 Sep 17, 2023 #2 Captain A said: Wadau naomba msaada kutaka kujua kuhusu hiyo course inayotolewa chuo cha DIT kama inaweza kulipa kwenye soko la sasa la Ajira. Click to expand... Kwa uelewa wangu wa juu juu profession yake inatumika zaidi katika maabara za viwandani,,kuhusiana na uwanda wa ajira ngoja wataalamu zaidi waje kutoa michango yao .Naomba kuwasilisha
Captain A said: Wadau naomba msaada kutaka kujua kuhusu hiyo course inayotolewa chuo cha DIT kama inaweza kulipa kwenye soko la sasa la Ajira. Click to expand... Kwa uelewa wangu wa juu juu profession yake inatumika zaidi katika maabara za viwandani,,kuhusiana na uwanda wa ajira ngoja wataalamu zaidi waje kutoa michango yao .Naomba kuwasilisha
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 24,853 Reaction score 60,794 Sep 17, 2023 #3 Jamaa yangu kaajiriwa na bakheresa mshahara ni zaidi ya million
kekule benzene JF-Expert Member Joined Sep 28, 2016 Posts 1,970 Reaction score 4,437 Sep 17, 2023 #4 Captain A said: Wadau naomba msaada kutaka kujua kuhusu hiyo course inayotolewa chuo cha DIT kama inaweza kulipa kwenye soko la sasa la Ajira. Click to expand... Maabara za viwandani na mashuleni😠ndio ajira zao zilipo Mshahara always huwa ni makubaliano (mkataba) Kuhusu kupata ajira, hakuna program isiyo na ajira ukiwa na connection/bahati Ukiwa huna connection/bahati hata ukisoma program nzuri unaweza ukahangaika sana
Captain A said: Wadau naomba msaada kutaka kujua kuhusu hiyo course inayotolewa chuo cha DIT kama inaweza kulipa kwenye soko la sasa la Ajira. Click to expand... Maabara za viwandani na mashuleni😠ndio ajira zao zilipo Mshahara always huwa ni makubaliano (mkataba) Kuhusu kupata ajira, hakuna program isiyo na ajira ukiwa na connection/bahati Ukiwa huna connection/bahati hata ukisoma program nzuri unaweza ukahangaika sana