Habar za leo ndug zangu ? Nimepata tatizo kwenye laptop yang n leo asubuh nlipowash na kuanz kuangalia majukum yangu nkaiona imechafuka sana hapo iko on, then nkachukua kitambaa na kuanz kufuta screen and keyboard, baada ya kufuta nkaona imestack cursor haisogei mpk saivi nimezma nimewasha iko palepale . Naomba mwenye uelewa mana nimekwama