abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,422
- 2,301
Habar wadau wa jamiforums hongereni kwa majuku. Yenu pia poleni kwa matatizo mlio nayo
Nilikua naomba kusiadiwa zaman nilikua Footballer nikaacha sababu ya kutafuta maisha nikaja kucheza tena now ni after 10 years uzito wangu ni mkubwa kama kilo 108 ivi sio bonge ila ni muscles sababu muda wote huo nilikua nafanya mazoez ya kunyanyua vyuma
Kwetu sis ni ma giant tulivyo ni kama kina jon cena au the rock so ni watu wenye maumbile makubwa
Shida yangu Mimi nikicheza mpira misuli ya miguu kuanzia kwenye got mpaka chin kwenye macho ya miguu misuli hua inauma now natumia vidonge vya muscles plas nameza kimoja kila siku vip nifanye nini ili niweze kuacha kumeza vidonge na misuli yangu iwe vizur iweze kuhimil mikimbio na mazoez ya mpira mana mimi sio kibonge nina masos zangu znuri tu
Naomba msaada please