Hana kesi ya kusikilizwa.Wiki chache zilizopita Bwana huyu alivuliwa madaraka yake na sijui kesi yake itaanza lini pale kisutu tukasikilize.Mwenye taarifa atujuze tafadhali.
Kwa hiyo anapangiwa kazi ingine......nilikuwa na hamu ya kumuona anapelekwa magereza kwa kutaka kutuuwa sisi wazalendo kwa kupandisha umeme.Hana kesi ya kusikilizwa.
Hahaaa kuna mengi nyuma ya hilo mkuu tuombe tu hekima ya mungu iendelee kutembea na watu wake ambao ni wachache sanaKwa hiyo anapangiwa kazi ingine......nilikuwa na hamu ya kumuona anapelekwa magereza kwa kutaka kutuuwa sisi wazalendo kwa kupandisha umeme.
Walimtafuta kwenye Scandal ya ESCROW wakamkosa. Huyu jamaa ni muadilifu sana. Wengi hatujui kuchunguza mambo kwa kina. Aliyepandisha bei ni ewura but boss wao yupo kazini. Huyu aliomba tu.Mramba wa Tanesco ni mtu muadilifu sana. Yani kama kungekuwa na mtakatifu kutokea Tanzania Basi kungekuwa na Mtakatifu Felchemi Mramba wa Tanesco... Kwa nafasi aliyokuwa nayo kama angetaka, kwa sasa asingekuwa na chini ya bilioni hamsini cash!
...watu wa Mungu ni wachache?!Hahaaa kuna mengi nyuma ya hilo mkuu tuombe tu hekima ya mungu iendelee kutembea na watu wake ambao ni wachache sana
Si kweli, wengi wanaokuwa watenda wema wanakuwa watu wa kukomoana tena wanapenda sifa.Ukiwa mtenda mema ndani ya serikali ya Tanzania jua uko mashakani
umeangalia akaunti zake?Mramba wa Tanesco ni mtu muadilifu sana. Yani kama kungekuwa na mtakatifu kutokea Tanzania Basi kungekuwa na Mtakatifu Felchemi Mramba wa Tanesco... Kwa nafasi aliyokuwa nayo kama angetaka, kwa sasa asingekuwa na chini ya bilioni hamsini cash!
Tena sana mkuu walio wengi ni wafuasi waaminifu wa Lucifer....watu wa Mungu ni wachache?!