matungwabengesi
Member
- Aug 11, 2016
- 12
- 6
Habari za asuhuhi, napenda yeyote mwenye taarifa kuhusu majibu ya usaili wa NMB uliofanyika tar5/8/2016 Dar es salaam headoffice nafasi ya bank teller
Ok poa poaMbona tulishapewa mikataba mkuu?
Ok poa poa
Haina shida mkuu tupo pamojaMkuu nazuga tu, sina hata taarifa ya hiyo kitu.