Mwenye software ya oxford english dictionary

Mwenye software ya oxford english dictionary

kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
2,273
Reaction score
1,708
Tafadhali naomba msaada wa software ya oxford advanced learner english dictionary. Kwa matumiz ya kwenye kompyuta.
 
pitia website za kudownload app kama softonic na nyinginezo utaipata!
 
Tafuta dictionary ya cambridge advanced learner's dictionary 3rd edition
ni nzuri sana kwani inakitufe cha pronunciation yan kama neno hulijui namna ya kulitamka unabofya tu kwenye neno na inakupa good pronunciation yake ni nzuri sana
 
ndo uzuri wa JF kuna vichwa vilivyobobea kama ivi; Asante kwa maelekezo murua.
Tafuta dictionary ya cambridge advanced learner's dictionary 3rd edition
ni nzuri sana kwani inakitufe cha pronunciation yan kama neno hulijui namna ya kulitamka unabofya tu kwenye neno na inakupa good pronunciation yake ni nzuri sana
 
hiyo hapo screenshort yake
 
Attachments

  • 800px-CALD_3rdEd_CDROM.png
    800px-CALD_3rdEd_CDROM.png
    47.5 KB · Views: 57

Similar Discussions

Back
Top Bottom