kwa huu uzi umeulete mahali ambako si pake kaka, yaani umeingi a choo cha kike, kingine hiyo software ninayo ina gb karibia 3 hivi, so ukiniambia nikuuploadie kwenye email zen udownload kwa speed zetu za internet na vijibando utakesha, ka vipi igoogle utaipata tu mbona nyingi zen download. Ila kama upo dzm nitafute kwa kuni pm nikupatie!1